Video: Mwana FA atinga BASATA baada ya kuteuliwa kama mjumbe wa bodi ‘Haimanishi uwepo wangu ukaimba unachotaka’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Mwana FA atinga BASATA baada ya kuteuliwa kama mjumbe wa bodi ‘Haimanishi uwepo wangu ukaimba unachotaka’

Msanii wa muziki nchini, Hamisi Mwinjuma maarufu kama Mwana FA ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya BASATA, amefika katika Ofisi za baraza hilo katika kutekeleza majukumu yake.Rapper huyo pamoja na msanii wa Bongo Movie Single Mtambalike alimaarufu Richi waliteuliwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harison Mwakyembe kuwa miongoni mwa wajumbe watano walioteuliwa.


FA amefika BASATA mapema asubuhi ya leo siku ya Jumatano huku kukiwa na sakata la kufungiwa kwa wimbo wa WCB unaofahamikwa kwa jina la Mwanza uliyoimbwa na Rayvanny kwa kushirikiana na DiamondPlatnumz wakati sababu kubwa zikielezwa kuwa ni kutokuwa na maadili.


The post Video: Mwana FA atinga BASATA baada ya kuteuliwa kama mjumbe wa bodi ‘Haimanishi uwepo wangu ukaimba unachotaka’ appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More