Video: Mzee Kilomoni aongoza dua ya kumuombea Mo Dewji  - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Mzee Kilomoni aongoza dua ya kumuombea Mo Dewji 

Mmoja wa viongozi wa bodi ya wazamini wa klabu ya Simba Mzee Hamisi Kilomoni hii leo amefanya dua nyumbani kwake kumuombea kwa Mungu Mdhamini Mkuu wa timu hiyo Mfanyabiashara Mohammed Dewji ili kupata wepesi katika matatizo yaliyomkuta.Familia ya ‘MO’ yatangaza zawadi ya Sh Bilioni moja kwa atakayetoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa  Mo Dewji

Inafahamika kuwa Mo Dewji ambaye ni mfanyabiashara hapa nchini ametekwa na watu wa siyo julikana majira ya saa 11: 35 mpaka saa 11: 40 tarehe 11 Oktoba  2018 Colosseum Hotel Mtaa wa Haile Selasie Oysterbay Dar es salaam kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa familia ambayo imetangaza zawadi ya Sh Bilioni moja mbele ya waandishi wa habari kwa yoyote atakayetoa taarifa zitakazowezesha kupatika kwake.


The post Video: Mzee Kilomoni aongoza dua ya kumuombea Mo Dewji  appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More