Video: Nachotaka Cover – Lightness Luther - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Nachotaka Cover – Lightness Luther

Label ya GMI imekuleta wimbo mpya wa muimbaji wa injili mwenye uwezo mkubwa tofauti na umri wake, Lightness. Muimbaji huyo amefanya cover ya wimbo Nachotaka wa muimbaji Emma Omonge kutoka nchini Kenya.The post Video: Nachotaka Cover – Lightness Luther appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More