VIDEO: Nally ft Shillah Kismart – Nyang’anyang’a - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO: Nally ft Shillah Kismart – Nyang’anyang’a

Kampuni ya Samfrodmusic wanakuletea ladha mpya katika tasnia ya muziki nchini wakituletea muziki mpya  uliofanywa na mwanadada Nally ikiwa ni video ya ngoma yake ya Nyang’anyang’a aliyomshirikisha Shillah Kismart, Ngoma hii imefanywa na Producer Dupah – Seberedasti na video ikitengenezwa na Director Officialmizzclassic.By Ally Juma.


The post VIDEO: Nally ft Shillah Kismart – Nyang’anyang’a appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More