VIDEO: Nay wa Mitego aitwa tena BASATA ‘Nitaacha muziki, isije kuonekana BASATA ipo kwa ajili yangu’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO: Nay wa Mitego aitwa tena BASATA ‘Nitaacha muziki, isije kuonekana BASATA ipo kwa ajili yangu’

Rapa Nay wa Mitego leo Oktoba 17, 2018 ameitwa tena na BASATA na kupewa barua ambayo yeye mwenye amedai kuwa inamtaka ahudhurie kwenye kikao kitakachofanyika Oktoba 21 mwaka huu.Akiongea na Bongo5, Nay amesema kuwa huenda wimbo wake wa Alisema ukawa wa mwisho kwani amechoka kusumbuliwa na BASATA na hawezi kubadilisha aina ya muziki anaoufanya.


The post VIDEO: Nay wa Mitego aitwa tena BASATA ‘Nitaacha muziki, isije kuonekana BASATA ipo kwa ajili yangu’ appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More