VIDEO:Nimerejea Simba itatwaa Ubingwa Mwaka huu-Kapombe - Jamii na Michezo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO:Nimerejea Simba itatwaa Ubingwa Mwaka huu-Kapombe

 Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.JAN.25.2018 SAA 03:56 USIKU

Beki wa pembeni wa klabu ya Simba ambaye hivi karibuni alicheza kwa mara ya kwanza timu hiyo tangu aliposajiliwa, Shomari Kapombe,ambaye pia alifanikisha mpango wa kupatikana kwa bao la pili katika mchezo dhidi ya Kagera Suger, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu alipopata majeraha ya mguu mwaka jana.

Amezungumza juu ya Kikosi cha simba na nafasi yao pia ya kuwaa taji la ligi kuu.BOFYA VIDEO 
.

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates... Continue reading ->


Source: Jamii na MichezoRead More