Video: Nini ameniacha lakini bado nampenda, akitaka kurudi nipo tayari – Nay wa Mitego - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Nini ameniacha lakini bado nampenda, akitaka kurudi nipo tayari – Nay wa Mitego

Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego kwa mara ya kwanza amefunguka kuzungumzia namna alivyoachana na mpenzi wake ‘Nini’. Mrembo huyo ambaye pia bado anadaiwa kuwa ni msanii wa Free Nation label ya rapa huyo, alidai ameamua kumuacha rapa huyo kwa madai amekuwa na michepuko mingi.The post Video: Nini ameniacha lakini bado nampenda, akitaka kurudi nipo tayari – Nay wa Mitego appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More