Video: Queen Darleen afunguka mazito ‘Watanzania wanapenda sana mapenzi kuliko kula’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Queen Darleen afunguka mazito ‘Watanzania wanapenda sana mapenzi kuliko kula’

Msanii wa muziki nchini, Queen Darleen kutoka WCB amesema kuwa Watanzania wanapenda sana mapenzi kuliko hata kula au kazi ndiyomaana nyimbo zenye maudhui ya mapenzi zinafanya vizuri mno Tanzania. Mwanamziki huyo ameyasema hayo wakati akifanyiwa mahojiano na Bongo5 Media.The post Video: Queen Darleen afunguka mazito ‘Watanzania wanapenda sana mapenzi kuliko kula’ appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More