VIDEO: Rais Magufuli akabidhiwa ramani ya uwanja wa mashabiki zaidi ya laki moja - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO: Rais Magufuli akabidhiwa ramani ya uwanja wa mashabiki zaidi ya laki moja

RAIS wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, John Magufuli leo Jumatano amekabidhiwa ramani ya uwanja mpya utakaojengwa jijini Dodoma ambao utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki kuanzia 85,000 hadi 100,005.


Source: MwanaspotiRead More