VIDEO:RASHID MATUMLA AZUNGUMZA JUU YA HALI YA MWANAYE NA MWENENDO WA NGUMI TANZANIA - Jamii na Michezo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO:RASHID MATUMLA AZUNGUMZA JUU YA HALI YA MWANAYE NA MWENENDO WA NGUMI TANZANIA

Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.FEB.16:2018 SAA 03:24 USIKU Bingwa wa zamani wa dunia wa WBU, Rashid Matumla ‘Snake man’ amezungumza  juu ya mwenendo wa ngumi nchini Tanzania,pamoja hali ya mwanaye Mohamed Matumla ambaye alifanyiwa upasuaji wa kichwa kutokana na maumivu aliyoyapata baada ya kupigwa na Bondia Mfaume mfaume katika moja ya pambano lake lisilokuwa na Ubiingwa.

ANGALIA VIDEO

.....

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates... Continue reading ->


Source: Jamii na MichezoRead More