Video: Samuel Eto’o atua nchini kimya kimya - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Samuel Eto’o atua nchini kimya kimya

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o tayari amewasili Tanzania.
Eto’o amekuja Tanzania kuzindua mradi wa ujenzi wa uwanja wa 5-A Side utakaojengwa Oysterbay
The post Video: Samuel Eto’o atua nchini kimya kimya appeared first on Bongo5.com.

... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More