VIDEO: Shetta achukizwa na tabia za Watanzania kwenye msiba wa Pancho Latino ‘mpaka ufe ndio waone thamani yako’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO: Shetta achukizwa na tabia za Watanzania kwenye msiba wa Pancho Latino ‘mpaka ufe ndio waone thamani yako’

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Shetta amewataka Watanzania waache tabia ya kusifia watu pindi wanapokufa na kuanza kuona uthamani wao ile hali wakiwa hai wanawakaushia.The post VIDEO: Shetta achukizwa na tabia za Watanzania kwenye msiba wa Pancho Latino ‘mpaka ufe ndio waone thamani yako’ appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More