Video: Shilole aeleza kwanini amemchamba Muna “tungeitana kindugu sio kuongea na waandishi’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Shilole aeleza kwanini amemchamba Muna “tungeitana kindugu sio kuongea na waandishi’

Msanii wa muziki, Shilole baada ya kusikia Muna amezungumza na waandishi wa habari juu ya msiba wa mtoto wake Patrick, amedai mdogo wake huyo hakupaswa kuzungumza kwa kuwa yote walishayamaliza siku ya mazishi.The post Video: Shilole aeleza kwanini amemchamba Muna “tungeitana kindugu sio kuongea na waandishi’ appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More