VIDEO: Simba inawasha mitambo rasmi leo - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO: Simba inawasha mitambo rasmi leo

SIMBA ilitesti mitambo yake katika mechi ya SportPesa iliyofanyija Nakuru, Kenya. Kikosi kikafika fainali na kupoteza kwa Gor Mahia kwa mabao 2-0. Kuna watu wakacheka sana.


Source: MwanaspotiRead More