Video: Thomas Ulimwengu awataka wapinzani wao Simba wajiandae ‘Wenyewe wanasema timu nzuri, wajiandae’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Thomas Ulimwengu awataka wapinzani wao Simba wajiandae ‘Wenyewe wanasema timu nzuri, wajiandae’

Mshambuliaji wa JS Saoura raia wa Tanzania, Thomas Ulimwengu amewataka wapinzani wao Simba kujiandaa vema kuelekea mchezo wao wa klabu bingwa Afrika.The post Video: Thomas Ulimwengu awataka wapinzani wao Simba wajiandae ‘Wenyewe wanasema timu nzuri, wajiandae’ appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More