Video: Tukinyimwa tiketi za kwenda kwenye party ya Tiffah tutaandamana – Shilole - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Tukinyimwa tiketi za kwenda kwenye party ya Tiffah tutaandamana – Shilole

Msanii wa muziki, Shilole amefunguka kwa kudai kwamba anamkubali sana Zari kwa kuwa ni mwanamke ambaye ana akili nyingi sana. Muimbaji huyo amedai atahakikisha anakwenda kwenye bithday party ya mtoto wa Diamond, Tiffah ili akaonane na wifi yake Zari.The post Video: Tukinyimwa tiketi za kwenda kwenye party ya Tiffah tutaandamana – Shilole appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More