VIDEO UCHAMBUZI: Presha juu! Timu 11 hazina uhakika kubaki Ligi Kuu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO UCHAMBUZI: Presha juu! Timu 11 hazina uhakika kubaki Ligi Kuu

LIGI Kuu Bara inaelekea ukingoni kwa mwisho wa mwezi Mei na kutambulika timu ambayo itachukua ubingwa ambayo itapata nafasi ya kuiwakilisha nchi katika Ligi ya Mabingwa Afrika lakini zitatambulika timu tatu ambazo zitashuka kwenda Ligi daraja la kwanza msimu ujao huku Africana Lyon ikiwa imeshatangulia tayari kwani hata kama ikishinda michezo yote yoyote haiwezi kubadilisha matokeo.


Source: MwanaspotiRead More