Video: Valencia akerwa na rafu aliyochezewa nahodha wa Tanzania, Morris Abraham  - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Valencia akerwa na rafu aliyochezewa nahodha wa Tanzania, Morris Abraham 

Mchezaji wa Manchester United, Antonio Valencia ameonyesha hisia zake juu ya kitendo cha mchezaji wa timu ya taifa ya Burundi ya vijana U17 kumchezea rafu mbaya nahodha wa Tanzania, Morris Abraham kwenye mchezo wa kundi A, michuano ya kufuzu fainali za Africa kwa Vijana waliyo na umri chini ya miaka 17 (U17).Jajajaj @ericbailly24 😱😱😱


A post shared by antoniovalencia2525 (@antoniovalencia2525) on Aug 14, 2018 at 11:56am PDT

Valencia ambaye ni beki wa United ameonyesha hisia hizo kwa kuposti kipande cha video kwenye mtandao wake wa Instagram kinachoonyesha uwezo mkubwa wa kumiliki mpira uliyofanywa na Morris Abraham anayetumikia timu ya taifa ya vijana ya Tanzania U17 ”Serengeti Boys” hadi kupelekea mchezaji huyo wa Burundi kumchezea rafu mbaya.


Watanzania wengi wametoa maoni mbalimbali kwenye Instagram ya Valencia baada ya kuiweka kipande hicho cha video huku tukio hilo likiwa limesambaa kwa wapenzi wengi wa soka duniani.


Valencia alisajiliwa kama winga mwaka ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More