Video: Wanafunzi wajifunza vitabu vya ‘Passed like a shadow na Kilio Chetu’ kwa maigizo - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Wanafunzi wajifunza vitabu vya ‘Passed like a shadow na Kilio Chetu’ kwa maigizo

Hivi sasa wanafunzi wa Shule za Sekondari huenda wakapata afueni ya kuelewa vitabu vya fasihi  baada ya kuwekwa katika sanaa ya maonyesho ya jukwaani yale yaliyoandikwa ndani yake.Hayo yamebainika katika Jukwaa la Sanaa linalofanyika kila Jumatatu katika ukumbi wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), ambapo jana Jumatatu Machi 11, 2019 wanafunzi kutoka shule mbalimbali waliangalia maigizo ya kitabu cha ‘Passed like a Shadow na ‘Kilio Chetu’ kutoka kwa waigizaji wa  kikundi cha ‘Ngao Art’.


The post Video: Wanafunzi wajifunza vitabu vya ‘Passed like a shadow na Kilio Chetu’ kwa maigizo appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More