Video: Wanawake hawafichi mizigo yao mpaka tunakohoa kohoa – Sheikh Kipozeo - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Wanawake hawafichi mizigo yao mpaka tunakohoa kohoa – Sheikh Kipozeo

Sheikh Kipozeo ameitaka serikali pamoja na nyumba za ibada kuingilia kati sakata la maadili la vijana wa kileo huku akidai kuna wanawake wanavaa nguo ambazo hazistahili katika jamii.The post Video: Wanawake hawafichi mizigo yao mpaka tunakohoa kohoa – Sheikh Kipozeo appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More