Video: Wasanii ni omba omba, sipendi kuwa kimbelembele kwenye misiba – Steve Nyerere - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Wasanii ni omba omba, sipendi kuwa kimbelembele kwenye misiba – Steve Nyerere

Msanii wa filamu Steve Nyerere kwa mara ya kwanza amefunguka kueleza sababu ya kuonekana kujitokeza zaidi kwenye misiba kuliko wasanii wengine ambapo amedai anafanya hivyo kwa kuwa wasanii hawana kitu ‘sisi wasanii ni omba omba’The post Video: Wasanii ni omba omba, sipendi kuwa kimbelembele kwenye misiba – Steve Nyerere appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More