Video: Waziri Lugola atoa onyo kali watakaotumia tukio la MV Nyerere kuvuruga amani “Huyo anayebeza Serikali anaishi nchi gani?” - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Waziri Lugola atoa onyo kali watakaotumia tukio la MV Nyerere kuvuruga amani “Huyo anayebeza Serikali anaishi nchi gani?”

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema wote wanaotumia ajali ya Kivuko cha MV Nyerere kama mtaji wa kisiasa watakamatwa na kuchukuliwa hatua.
Lugola ameyasema hayo mara baada ya kuwasili kwenye eneo la tukio kisiwani Ukara na kuongeza kuwa Serikali haipo tayari kupitia tukio hilo kuchonganyishwa na wananchi wake.


“Hatuko tayari kupitia tukio hili kuchonganisha serikali na wananchi wake. Tutakaowabaini tutawakamata, kusijitokeze mtu ama kikundi cha watu ama kwa ishara ama kwavitendo kuvuruga amani, usalama na utulivu tuliyonao. ”The post Video: Waziri Lugola atoa onyo kali watakaotumia tukio la MV Nyerere kuvuruga amani “Huyo anayebeza Serikali anaishi nchi gani?” appeared first on Bongo5.com.

... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More