Video ya Mbowe, wenzake sasa kuoneshwa kortini - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video ya Mbowe, wenzake sasa kuoneshwa kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeridhia kuoneshwa video inayodaiwa kubeba matukio yanayomuhusisha Freeman Mbowe na wenzake wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Kinondoni mwaka 2018. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Kwenye kesi hiyo ya uchochezi, awali mahakama ilikubali kupokea video (tepu) hiyo, iliyowasilishwa na upande wa Jamhuri kama moja ya vielelezo ...


Source: MwanahalisiRead More