Videos | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 Videos

MIAKA 73 YA UMOJA WA MATAIFA: Tanzania imefaidika na nini?

Channel : Millard AyoMAKAMPUNI 30 KUTOKA UTURUKI KUFANYA MAONYESHO YA KIBIASHARA NCHINI

Channel : Michuzi TV#MUBASHARA:TAARIFA YA HABARI ZA SAA 23 OKTOBA 2018 SAA SITA NA DAKIKA 55

Channel : ITV

ITV TANZANIA Tunakuletea Taarifa zetu za Habari na vipindi mbalimbali vikiwa #MUBASHARA, kupitia youtube na facebook kuhakikisha tunawafikia wote.Hatimaye Nay Wa Mitego aitikia wito wa BASATA

Channel : Millard Ayo

Muimbaji wa Hip Hop kutokea Free Nation Nay Wa Mitego ameonekana kuripoti BASATA mapema leo October 23,2018 na kuripotiwa kuwa hii ni mara ya tatu kwa Nay Wa Mitego kuitwa BASATA kwa mwaka huu.BBC DIRA YA DUNIA JUMATATU 22.10.2018

Channel : BBC Swahili

Na Zuhura Yunus & Dayo Yusuf#NECTA BREAKING: NECTA yawaanika Hadharani Walimu wezi wa Mitihani!! Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi (Darasa la Saba) kwa mwaka 2018 ambapo matokeo yanaonyesha ongezeko la ufaulu kwa asilimia 4.76% tofaiti na ufaulu wa 2017 ambao ulikuwa asilimia 72.76% Akitangaza matokeo hayo, Katibu Mkuu wa Baraza hilo, Dkt. Charles Msonde amesema katika tathmini ya awali kiwango cha ufaulu kimepanda kwa asilimia 4.9% ikilinganishwa na 2017, amesema pia kiwango cha ufaulu wa somo la Kiingereza uko chini sana tofauti na masomo mengine (50%) Baraza la Mitihani nchini limewafutia matokeo watahiniwa 357, waliobainika kufanya udanganyifu kwenye mitihani iliyofanyika mwaka huu 2018. “Baraza limezuia kutoka matokeo ya watahiniwa zaidi 100 kutokana na kuugua kipindi cha mtihani na kuwapa fursa ya kufanya mtihani huo mwaka 2019,” amesema Dkt. Charles Msonde. Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho#MUBASHARA:TAARIFA YA HABARI ZA SAA 23 OKTOBA 2018 SAA TANO NA DAKIKA 55

Channel : ITV

ITV TANZANIA Tunakuletea Taarifa zetu za Habari na vipindi mbalimbali vikiwa #MUBASHARA, kupitia youtube na facebook kuhakikisha tunawafikia wote.#VOA #WASHINGTONBUREAU WASHINGTON BUREAU: Trump azidi kuzua Utata Marekani!! Vyama vikuu vya siasa Marekani vinakubalina Rais Trump amekuwa gumzo la utata la uchaguzi mdogo ujao wa mwezi Novemba. Wakati huo huo watafiti waangalia njia mbadala ya kutibu maumivu bila madawa. Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyhoNgorongoro yatakiwa kuchukua hatua, Mbunge aingilia kati

Channel : Millard Ayo#MUBASHARA:TAARIFA YA HABARI ZA SAA 23 OKTOBA 2018 SAA NNE NA DAKIKA 55

Channel : ITV

ITV TANZANIA Tunakuletea Taarifa zetu za Habari na vipindi mbalimbali vikiwa #MUBASHARA, kupitia youtube na facebook kuhakikisha tunawafikia wote.#EMBRECORDS #BAHATIKENYA Kumbe EMB Records ndio studio Bora Zaidi Kenya? Msanii wa muziki wa injili nchini Kenya DARIAN amekiri kuwa Label ambayo anaitambua kwa sana upande wa muziki wa Injili nchini Kenya Ni EMB RECORDS inayomilikiwa na msanii anayejulikana kama BAHATI. Katika mahojiano ya moja kwa moja na GLOBAL TV KENYA aliweza kufunguka hayo. Ili kufahamu mengi fuatilia interview hii hapa. BOFYA HAPA KUCHEKI WIMBO WAKE https://youtu.be/t_zCSUUEeeM Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl /ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho#Nguvuzakiume FAHAMU: Vyakula vinavyoongeza Nguvu za kiume!! Tatizo la nguvu za kiume limekuwa likiwasumbua vijana wengi kwa sasa hususani maeneo ya mijini na hili linachangiwa ia na aina ya vyakula wanavyotumia kutokuwa na virutubisho vinavyoweza kuimarisha na kuongeza nguvu za kiume. Sasa kupitia kipindi hiki tumekuandalia aina za vyakula unavyoweza kula na vikaweza kumaliza tatizo hili kwa haraka zaidi. Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyhoFumanizi Bongo vs Nigeria.

Channel : Michuzi TV

DirayaKitaa #teammapicha.#MUBASHARA:TAARIFA YA HABARI ZA SAA 23 OKTOBA 2018 SAA TATU NA DAKIKA 55

Channel : ITV

ITV TANZANIA Tunakuletea Taarifa zetu za Habari na vipindi mbalimbali vikiwa #MUBASHARA, kupitia youtube na facebook kuhakikisha tunawafikia wote.DC Bukoba aagiza "Kamanda vuruga Kijiji kizima, huu ni unyama unachinja Binadamu"

Channel : Millard Ayo

Kufuatia mauaji ya kinyama dhidi ya watoto wadogo yaliyotokea kata Kyamlaile kijiji Mashule mkuu wa wilaya Bukoba Deodatus Kinawilo amefika maeneo hayo akiwa na kamati ya ulinzi na usalama huku akilaani vikali mauaji hayo. Aidha Mkuu wa wilaya huyo Deodatus Kinawilo amemuagiza Mkuu wa polisi wilaya Bukoba kuhakikisha polisi wanakaa katika kijiji hicho na avuruge kijiji hicho hata kijiji jirani ili kuhakikisha wahalifu wanapatikana na ikibidi watakaohisiwa wawekwe ndani.#MUBASHARA: KUMEKUCHA ITV OKTOBA 23, 2018

Channel : ITV

ITV TANZANIA Tunakuletea Taarifa zetu za Habari na vipindi mbalimbali vikiwa #MUBASHARA, kupitia youtube na facebook kuhakikisha tunawafikia wote.UNYAMA: Watoto wa Familia moja wachinjwa, Baba mzazi aeleza alivyowavalisha

Channel : Millard AyoAsubuhi Njema Uchambuzi wa Magazeti  23.10.2018

Channel : Channel 10Asubuhi Njema Kitaifa na Michezo  23.10.2018

Channel : Channel 10Habari za Kitaifa (1) saa tano Usiku 22.10.2018

Channel : Channel 10