Videos | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 Videos

#MVNYERERE INASIKITISHA: Miili 20 ya Waliofariki Katika Kivuko Wakitolewa Majini Zoezi la uopoaji na uokoaji katika Ziwa Victoria linaendelea ambapo kuanzia asubuhi ya leo miili ya 20 ya watu waliofariki katika ajali iliyotokea bada ya kivuko cha Mv Nyerere kuzama imeopolewa. Zoezi hilo linaendelea cha msingi endelea kukaa karibu na Global TV tutakuletea matukio yote kutokea Mkoani Mwanza wilayani Ukerewe katika Kisiwa cha Ukara ambapo ndipo ajali ilipotokea. http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...#MVNYERERE BREAKING: Aliyenusurika Aeleza A-Z "Dereva Alikuwa Bize na Simu" Kufuatia ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV NYERERE huko Kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, TBC imefanikiwa kumpata mmoja kati ya walionusurika kifo katika ajali hiyo ambaye amesimulia tukio zima lilivyotokea. http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli.....Milion 70 zilivyohusika kwa washindi wa Tulia Festival Mbeya

Channel : Millard Ayo

September 22, 2018 headlines zimeandikwa kutokea mkoani Mbeya katika fainali za Tamasha la Ngoma za Jadi (Tulia Traditional Dances Festival) 2018 ambayo muasisi wake ni Naibu Spika Dr. Tulia Ackson yaliyofanyika mkoani humo kwa siku tatu mfululizo huku yakishirikisha makundi ya ngoma 135 kutoka Tanzania na moja kutokea Malawi ambapo washindi pamoja na vikundi washiriki wamejipatia zawadi mbalimbali zikiwemo pikipiki na fedha taslim.#PROFESALIPUMBA BREAKING: Prof Lipumba Anga'ka! Wanachama Wake Kukamatwa Kibiti! Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi Cuf, Prof. ibrahim Lipumba amelaani vikali tukio la viongozi wake wa Wilaya ya Kibiti na Mkuranga waliodaiwa kukamatwa na jeshi la polisi wakati wakirudisha fomu za chaguzi za udiwani kwenye kata mbalimbali kwa madai ya kuwa fomu walizokuwa wakizirudisha niza kugushi. Hayo ameyaeleza leo jijini Dar es Salaam wakati wa kufungua Kikao cha Baraza la Viongozi wa Cuf ambapo katika Matukio hayo amelaani kitendo hicho kilichofanywa na jeshi hilo na akaeleza kuwa ushahidi matukio hayo anao kwani baadhi ya viongozi walioachiwa Wapo na ataelekea nao katika ofisi za tume ya Taifa ya uchaguzi kuieleza kilichotendeka huko kibiti. Akizungumzia waliokamatwa. Mbali na hayo pia amedai kuwa wananchama wanaohamia chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya kwamba wamefuata sehemu ilipo demokrasia ya kweli na kuunga juhudi zinazofanywa na chama tawala si za kweli kwani hali ya maisha ya watanzania si nzuri hususani ya ki biashara na upatikanaji wa pesa umekuwa mgumu. http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli.....Hii Hapa Isikupite Itazame Kutokea TABORA, Mabadiliko yanaonekana

Channel : Millard Ayo

Mradi wa ULGSP ambao unasimamiwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI bado uko TABORA, Hapa tunaonyeshwa ni kwa ainsi gani wamethamiria kuboresha mui waoMICHUZI TV LIVE: MAZISHI YA MAREHEMU WA AJALI YA KIVUKO CHA MV NYERERE

Channel : Michuzi TVBREAKINGNEWS

Channel : ITV

ITV TANZANIA tutakuwa tukikuletea Taarifa zetu za Habari na vipindi mbalimbali vikiwa #MUBASHARA, kupitia youtube na facebook kuhakikisha tunawafikia wote.BREAKING: Mhandisi Mkuu MV NYERERE Aokolewa Akiwa HaiAsubuhi Njema Kitaifa na Michezo - 22.09.2018

Channel : Channel 10BREAKING: Tazama  Fundi Mkuu wa MV. Nyerere ameokolewa akiwa HAI

Channel : Millard Ayo

Fundi wa mkuu wa #MvNYERERE Alphonce Cherehani amepatikana akiwa hai na kuokolewa muda huu, hadi sasa idadi ya miili iliyoopolewa ni 163 kwa mjibu wa Waziri wa Uchukuzi ambapo miili 116 tayari imetambuliwa.Tazam mshindi wa Bajaji alivyopigiwa simu live mbele ya waandishi

Channel : Bongo 5

Kampuni ya kubashiri matokeo ya michezo SportPesa hii leo siku ya Ijumaa imempata mshindi wa kwanza wa Bajij, Mwera Lusalula Rajabu katika kampeni yao ya SHINDA ZAIDI NA SPORTPESA itakayo dumu kwa siku 100. Mshindi huyo amepatikana baada ya kupigiwa simu live mbele ya vyombo vya habari zoezi lililo fanyika katika ofisi zao.#MVNYERERE DUA MAALUM: Kuwaombea Waliofariki Kwenye 'MV NYERERE' Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, ametoa salamu za pole kwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kwa ajali mbaya iliyotokea mkoani Mwanza ya meli ya MV.Nyerere kuzama katika kisiwa cha Ukerewe, ambapo mbali na salaam za pole pia amewatakia waislam heli na Baraka njema katika kutimiza mwaka Mpya wa kiislam. Abdallah Ulege amekuwa mgeni rasmi akimwakilisha Rais mstaafu Mzee mwinyi ambaye ndiye alitakiwa kuwa mgeni rasmi. Katika hafla hiyo Maalum ya kutimiza mwaka mpya wa kiislam pia waumini wa kiislam wameomba dua Maalum ya kuwaombea marehemu wote waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo na hasa viongozi wa dini hiyo wakisisitiza amani na upendo miongoni Mwa watanzania wote bila kubagua dini yoyote. Kwa upande wa sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa amekazia maneno ya rais ya kuwataka wahusika wa vyombo mbalimbali ya usafiri kuzingatia sheria pasipokukiuka ili kuweza kuzuia ajali zisizokuwa za lazima akawataka wale wote waliosababisha uzembe wa kwenye kivuko hicho kuchukuliwa hatua stahiki. http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli....."Tumefanya manunuzi kwa ajili ya kukiinua Kivuko cha MV. NYERERE" TEMESA

Channel : Millard Ayo

Wakala wa Temesa amesema wapo kwenye maandalizi ya kuleta mitambo kwa ajili ya kukivuta Kivuko cha MV. NYERERE.HD VIDEO: MC PILIPILI AKIMTAMBULISHA MKE WAKE MTARAJIWA MBELE YA DC MJEMA

Channel : Millard Ayo#VOA #ZULIAJEKUNDU VOA: Zulia Jekundu, Habari za Mastaa wa Mamtoni ://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli.MARTHA MWAIPAJA,MAREHEMU ANGELA CHIBALONZA NDIO CHANZO CHA HAYA YOTE. Kupitia mahojiano ya moja kwa moja na mwimbaji wa injili toka Kenya ameweza kufunguka ukweli kuhusu utendaji kazi wake. #GLOBALTVONLINE #GOSPEL http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..#MVNYERERE MV NYERERE: Tazama Miili ya Watu Ikiopolewa Ziwa Victoria, Inahuzunisha! Kufuatia ajali mbaya ya Kivuko cha MV Nyerere kilichozama karibu na Kisiwa cha Ukara, zoezi la kuopoa miili ya watu waliokufa pamoja na kuwaokoa walionusurika, linaendelea huku Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela akiongoza zoezi hilo. Taarifa kutoka Wilayani Ukerewe zinaeleza uwa kivuko hicho kilikuwa kinatoka katika Kisiwa cha Ukerewe eneo la Bugorola kwenda kisiwa cha Ukara. Kwa mujibu wa mashuhuda, kivuko hicho kilikuwa na zaidi ya abiria 400 huku mpaka usiku, abiria 50 wakiwa wameokolewa na kupelekwa Kituo cha Afya Bwasha, Ukara kupatiwa matibabu na wengine 350 wakihofiwa kufa maji. http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli.KUMEKUCHA ITV

Channel : ITV

ITV TANZANIA tutakuwa tukikuletea Taarifa zetu za Habari na vipindi mbalimbali vikiwa #MUBASHARA, kupitia youtube na facebook kuhakikisha tunawafikia wote.VIDEO: Ndugu wametambua miili na imeanza kusafirishwa.

Channel : Millard Ayo

Ripoti kutoka eneo la tukio Ukara Tanzania ni Wananchi wameanza kuchukua miili ya ndugu zaoo kwa ajali ya aziko.#MVNYERERE ITAKULIZA! Waumini Walivyoona Maiti 3 za Wenzao Leo! Kufuatia vifo vya zaidi ya watu 160 waliofariki kwa ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV. Nyerere huku mkoani mwanza katika kisiwa cha ukara Shirika la mawasiliano Tanzania Vodacom limefika katika eneo la tukuio na kutoa msaada wao kwa kwa wafiwa kiasi cha shilling million 10 kwaajili ya majeneza yatakayotumika kuwahifidhia. http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli.....