Videos | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 Videos

Vijana Kenya wamkumbuka Shakespeare

Channel : BBC Swahili

Kesho ni miaka 400 tangu kifo cha mshairi na mwandishi msifika wa michezo ya kuigiza William Shakespeare. Vijana nchini Kenya wana maoni gani kuhusu vitabu vyake?Lugha na utamaduni wa Waswahili ughaibuni

Channel : BBC Swahili

Vijana wanaotoka Afrika Mashariki hukabiliwa na changamoto za matumizi ya Kiswahili ughaibuni na ili kutowaacha nyuma, baadhi ya wakazi wa London wanaozungumza Kiswahili wameanzisha mpango wa kuwasaidia wasisahau lugha yao.VYAMA VYA SIASA VYAIPONGEZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI-NEC

Channel : Michuzi TVALICHO KISEMA MEYA WA JIJI LA MBEYA BAADA YA KUSUSIA KIKAO CHA MKUU WA MKOA...

Channel : Michuzi TV

DIWANI KATA YA KIWALANI ACHAGULIWA KUWA NAIBU MEYA JIJI LA DAR ES SALAAM

Channel : Michuzi TVWAATHIRIKA WA VITA VYA KAGERA WAIOMBA SERIKALI IWAKUMBUKE

Channel : Michuzi TVKenya yataka ICC itoe stakabadhi kuhusu washukiwa

Channel : BBC Swahili

Serikali ya Kenya imeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa kivita (ICC) kuwasilisha stakabadhi zote za uchunguzi zinazowahusu Wakenya watatu wanaotuhumiwa kuhujumu mashahidi.MAKONDA AENDELEA KUPAMBANA NA WATUMISHI HEWA

Channel : Michuzi TVWATU WAWILI WADHANIWA KUPOTEZA MAISHA BAADA YA GARI LAO KUTELEZA KWENYE PANTON NA KUZAMA MAJINI

Channel : Michuzi TVSIMBA YAMFUNGIA HASSAN KESSY MECHI TANO

Channel : Michuzi TVSababu ya mwanamuziki AY kutotoa albamu Tanzania

Channel : BBC Swahili

Kuenea kwa biashara ya uuzaji wa kazi za filamu na muziki bila idhini ya wasanii na bila kulipiwa kodi kumegharimu sana wasanii wenyewe na Serikali.Timu ya Kenya ya Raga yakaribishwa kwa shangwe

Channel : BBC Swahili

Biashara zote zilisimama katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya huku shangwe na nderemo zikitawala eneo hilo siku ya Jumanne wakati timu ya mchezo wa raga ya Kenya ya wachezaji saba kila upande ilipowasili baada ya ushindi wake huko SingaporGSM FOUNDATION YATOA MSAADA MOI.

Channel : Michuzi TVVideo ya uharibifu uliotokana na tetemeko Japan

Channel : BBC Swahili

Ndege isiyo na rubani imepiga video inayoonesha uharibifu uliotokana na mitetemeko miwili ya ardhi iliyokumba kisiwa cha Kyushu, Japan wiki iliyopita.Daraja la kisasa kuzinduliwa Kigamboni

Channel : BBC Swahili

Rais Magufuli atafungua rasmi daraja la Kigamboni lililoko Dar es Salaam hapo kesho. Daraja hilo linaunganisha eneo la Kigamboni na mji wa Dar es Salaam.Simba aingia shule ya upili Marekani

Channel : BBC Swahili

Polisi katika eneo la Granada Hills mjini Los Angeles katika jimbo la California walikabiliwa na kazi isiyo ya kawaida baada ya kulazimika kumdhibiti simba aliyekuwa ameingia katika shule moja ya upili.Sokwe acheza na nyaya za umeme Japan

Channel : BBC Swahili

Sokwe mmoja alitoroka kutoka kituo cha kuwatunza wanyama katika mmji wa Sendai, kaskazini mwa Japan na kuingia maeneo ya makazi ambapo alipanda kwenye boriti na nyaya za stima.Nywele bandia zilizo ghali kama gari

Channel : BBC Swahili

Jijini Johannesburg, Afrika Kusini, Tracy hatimaye anasukwa kwa kutumia nywele bandia ambazo mamake Hope amefanikiwa kumnunulia kwa kuzilipia kidogo kidogo kila mwezi.Utambulisho: Uafrika na nywele asilia

Channel : BBC Swahili

Cece kutoka Cameroon anamfafanulia msusi Pearl eneo la London Mashariki ni kwa nini anataka mtindo wake wa kusukwa nywele uoneshe ulimwengu Uafrika wake.