Videos | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 Videos

Jeshi La Polisi Lawatahadharisha Mashabiki Wa Yanga

Channel : Simu TV

Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam lawataka mashabiki watakao hudhuria mchezo kati ya Yanga na Mediama ya nchini Ghana kuwa watulivu na ...TBS Yabaini Kiwanda Bubu Cha Mafuta Na Vilainishi Vya Mitambo

Channel : Simu TV

Shirika la viwango nchini TBS limebaini kiwanda bubu cha kuchakata mafuta na vilainishi vya mitambo katika duka la mfanyabiashara mmoja jijini Dar es ...CRDB Yaongoza Utoaji Wa Mikopo

Channel : Simu TV

Benki ya CRDB imeongoza katika utoaji wa mikopo kwa mwaka uliopita wa 2015 kwa kutoa mikopo yenye thamani ya shilingi Trilioni 3.8.Payet Asema Hana Mpango Wa Kuondoka West Ham

Channel : Simu TV

Dimitri Payet amemtamkia kocha wa timu yake ya West Ham kuwa hana mpango wa kuondoka katika timu hiyo licha ya timu nyingi Kuonesha lengo la kumsajili.Marekani Yapongeza Juhudi Za Mkapa Kusulihisha Mgogoro Wa Burundi

Channel : Simu TV

Mwakilishi maalumu wa Marekani katika nchi za maziwa makuu amepongeza juhudi zinazofanywa na rais mstaafu Benjamini Mkapa katika kusuluhisha ...Serengeti Boys Kuingia Kambini

Channel : Simu TV

Timu ya vijana ya umri chini ya miaka 17 Serengeti boys inatarajiwa kuingia kambini kwaajili ya maandalizi ya mchezo wake dhidi ya timu ya vijana ya Afrika ...Vikundi Vya Vikoba Vyatakiwa Kujenga Uaminifu

Channel : Simu TV

Vikundi vya VICOBA katika halmashauri ya wilaya ya Monduli vimeaswa kurejesha mikopo viliopatiwa ili kuwapa fursa wananchi kukopa mikopo hiyo.Tanzania Yakabidhi Bawa La Ndege Kwa Australia

Channel : Simu TV

Serikali ya Tanzania imeikabidhi Malaysia kipande cha bawa la ndege lililookotwa na wavuvi kisiwani Pemba ambalo linaaminika kutokana na ndege ya ...TRA Yahimiza Ulipaji Wa Kodi Kwa Njia Ya Mitandao

Channel : Simu TV

Mamlaka ya mapato TRA imewataka watanzania kujenga mazoea ya kulipa kodi zao kwa njia ya mitandao ili kuokoa muda.Vilabu Vya Soka Vyaaswa Kuwabeba Wachezaji Wazawa

Channel : Simu TV

Vilabu vya soka nchini vimeshauriwa kuacha tabia ya kukimbilia wachezaji wa nje na kuacha wachezaji wa ndani hata kama wanauwezo mkubwa.Waziri Nape Anasa Viwanda vya CD Feki

Channel : Simu TV

Waziri wa habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye, amevamia sokoni kariakoo na kukamata maduka kadhaa yanayouza na kudurufu CD za ...Matumizi Sheria Mpya Kodi

Channel : Simu TV

Mamlaka ya mapato nchini TRA imezitaka kampuni na taasisi za biashara na fedha kutoa ushirikiano kwa mabadiliko ya sheria ya kodi.Yanga Kujiuliza Kwa Medeama Kesho

Channel : Simu TV

Timu ya soka ya Yanga itashuka dimbani kwa mara nyingine hapo kesho kuwavaa Medeama kutoka nchini Ghana katika kombe la shirikisho barani Afrika.Maboresho Bandarini Zanzibar

Channel : Simu TV

Shirika la bandari la Zanzibar limenunua vifaa mbalimbali vya bandarini zikiwemo taa na mashine ya kubebea mizigo ili kuboresha utendaji kazi bandarini ...Wakulima wa Zabibu Dodoma

Channel : Simu TV

Kampuni ya TBL kutoa mafunzo ya kilimo cha Zabibu ili kuboresha uzalishaji wa zao hilo linalotumika kutengeneza vinywaji mbalimbali vinavyozalishwa na ...Shindano la Miss Dar Indian Ocean

Channel : Simu TV

Jumla ya warembo 20 watashiriki katika shindano la Dar Indian Ocean huku warembo hao wakikabidhiwa gari kwa ajili ya kuzunguka nchi nzima kuona vivutio ...Matatizo ya Utumishi wa Umma

Channel : Simu TV

Waziri wan chi menejimenti ya Utumishi wa Umma Angela Kairuki, amewataka vionngozi serikalini kushughulikia matatizo ya watumishi kwa haraka zaidi.Upasuaji wa Moyo Muhimbili

Channel : Simu TV

Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete kwa kushirikiana na madaktari bingwa kutoka nchini marekani wamefanikiwa kufanya upasuaji wa moyo.Matokeo Kidato cha Sita

Channel : Simu TV

Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Kidato cha sita na yale ya walimu huku kiwango cha ufaulu kikishuka kwa asilimia moja.Msichana Aliyeongoza Kitaifa

Channel : Simu TV

Mahojiano maalumu ya TBC na msichana aliyeongoza kitaifa kwa wasichana akitokea shule ya sekondari Marian Girls iliyopo mkoani Pwani.