Videos | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 Videos

Vita Vya Kagera 1977 1978 Sehemu Ya Pili

Channel : Simu TV

Sehemu ya pili ya filamu ya vita vya Tanzania na Uganda almaarufu kama Vita vya Kagera vilivyopiganwa kati ya mwaka 1978 hadi 1979.Uteuzi Wa Viongozi Mbali Mbali Visiwani Zanzibar

Channel : Simu TV

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Shein afanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbali mbali za serikali.Sakata La Mchungaji David Lachukua Sura Mpya

Channel : Simu TV

Mchungaji David Mwamkinga ajikuta mikononi mwa jeshi la polisi baada ya wafuasi wake kulalamika juu ya ndugu zao waliofungiwa ndani ya nyumba ya ...Mradi Wa Makazi Bora Mbalizi Mbeya

Channel : Simu TV

Serikali kwa kushirikiana na benki ya dunia yaanza kutekeleza mradi wake wa makazi bora kwa wananchi wa Mbalizi jijini Mbeya.Watumishi Wa Afya Somanda Waaswa Kuzingatia Maadili

Channel : Simu TV

Mkuu wa wilaya ya Bariadi Mhe. Festo Kiswaga awataka watumishi wa katika hospitali ya Somanda kuzingatia maadili ya mtumishi wa umma.Dkt.Nchimbi Awataka Viongozi Halmshauri Za Njombe Kutumia Baskeli

Channel : Simu TV

Mkuu wa mkoa wa Njombe , Dkt. Rehema Nchimbi awataka viongozi wa halmshauri zote mkoani humo kutumia hata baskeli kuwafikia wananchi.Kauli Ya CCM Kilimanjaro Kwa Makandarasi Wa Mkoani Humo

Channel : Simu TV

Chama Cha Mapinduzi mkoani Kilimanjaro kimezitaka halmashauri zote mkoani humo kutowalipa makandarasi wanaojenga barabara zilizo chini ya kiwango.Maonyesho Ya Nane Nane Morogoro

Channel : Simu TV

Maandilizi ya maonyesho ya nane nane kwa kanda ya mashariki yanaendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere mkoani Morogoro.MSD Yaombwa Kubuni Njia Bora Ya Usambaji Dawa

Channel : Simu TV

Watendaji wa sekta ya afya katika halmashauri ya Iringa waiomba bohari kuu ya dawa nchini MSD kutafuta njia bora ya usambazaji dawa kwenye vituo vya ...Mila Na Desturi Za Watanzania

Channel : Simu TV

Fahamu mambo kadha wa kadha kutoka kwa muhifadhi wa mila na desturi kutoka katika makumbusho ya taifa, akikujuza kuhusu mila na tamaduni za ...Changamoto Zinazoikabili Shule Ya Msingi Mitindo Ya Mwanza

Channel : Simu TV

Shule ya msingi ya watoto wenye mahitaji maalum ya Mitindo iliyopo wilayani Misungwi inakabiliwa na uhaba wa magodoro, mashuka , chakula na mahitaji ...Uchambuzi Kuhusu Hati Ya Pamoja Ya Kusafiria Barani Afrika

Channel : Simu TV

Fahamu kwa kina kuhusu umuhimu wa hati ya pamoja ya kusafiria kwa nchi za bara la Afrika kutoka kwa mwanadiplomasia, Dkt Kitojo.SMZ Kuwainua Wakulima Wa Zao La Mwani

Channel : Simu TV

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ yaahidi kuwasaidia wakulima wa zao la Mwani kuwatafuta soko kwa lengo la kuwainua kiuchumi.Rais Magufuli Awataka Watanzania Kudumisha Amani

Channel : Simu TV

Rais John Magufuli na mwenyekiti mpya wa CCM, Mhe.John Magufuli awataka watanzania kuendelea kudumisha amani na upendo nchini.Dkt Jakaya Kikwete Awataka Wana CCM  Kulipa Ada

Channel : Simu TV

Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt. Jakaya Kikwete awataka wanachama wa CCM kulipa ada ili kukuza wigo wa mapato ya chama.Magufuli Kukomesha Rushwa Ndani Ya CCM

Channel : Simu TV

Mwenyekiti mpya wa CCM,Mhe.John Magufuli aahidi kupambana na rushwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi.Zao La Kakao Kyela

Channel : Simu TV

Wakulima wa zao la Kakao katika halmashauri ya Kyela mkoani Mbeya watakiwa kuwatumiwa watalaam ili waweze kukuza uzalishaji.Rais Magufuli Kidedea Uenyekiti Wa CCM

Channel : Simu TV

Rais John Magufuli ameibuka kidedea uenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM kwa jumla ya kura 2398.Huduma Za Afya Mnyagala Mpanda

Channel : Simu TV

Inaelezwa kuwa kijiji cha Mnyagala kilicho katika halmashauri ya Mpanda mkoani Katavi kinakabiliwa na changamoto za upatikanaji wa huduma za afya.Asubuhi Njema, habari 24.07.2016

Channel : Channel 10