Vidume Wapigana Kisa Sabby Angel - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vidume Wapigana Kisa Sabby Angel

Taharuki imezuka mtaani baada ya vidume wawii maridadi kuonekanawakipigana mtaania kisa penzi la mwanadaad Sabby angel ambae hapo awali aliwahi kutangaza kuwa kama atatokea mwaaume mwenye mapenzi ya kweli na yeye basi atataka kufunga ane ndoa lakini pia atamnunulia gari.


Hata hivyo baada ya habari hzio kumfikia Sabby mwenyewe alishtuka na kusema kuwa kwa sababu wanaume hao wanaonekana kujitokeza wengi basi na yeye ataamua kufanya usaili ili kujiridhisha na kumpata mmoja ambae atamuona yeye anamfaa.


Hata hivyo mashabiki wamemtaka mwanadada huyo kufanya kama kipindi ambacho licha ya kupata anaemfaa lakini pia anaweza kutumia wazo lake kama njia ya kujipatia pesa.


 


 


 


The post Vidume Wapigana Kisa Sabby Angel appeared first on Ghafla! Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More