Vifo vya akina Mama na Watoto bado changamoto - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vifo vya akina Mama na Watoto bado changamoto

Takwimu zinaonyesha vifo vya kina mama na watoto  bado ni Changamoto hapa nchini ambapo   kina mama 556 kati ya laki moja hufariki Dunia wakati wa kujifungua. Akizungumza Jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya afya unahusu Afya ya Mama na mtoto  Mkuu wa Chuo Cha Udaktari bingwa Cha Aga Khan Prof. Hussein Kidanto amese kuwa tatizo lipo Duniani kote ambapo zaidi ya kina mama 303 kati ya laki moja wanaozaa watoto hai hufariki Dunia.
Aidha ameongeza kuwa mimba za utotoni zimeonekana kuwa Sababu kubwa ya vifo hivyo ambapo asilimia 27 ya watoto wa kike wenye umri miaka 14_16 hupata mimba za utotoni na wengine tayari wanawatoto. Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi Afya ya Mama na Mtoto kutoka Wizara ya Afya Dkt. Ahmed Makuwani amesekuwa Serikali imefanikiwa kufanya ukarabati wa vituo vya Afya hapa nchini ili kuboresha huduma ya Afya ya mama na Mtoto.
Dkt. Makuwani ameongeza kuwa vifo vya watoto vimepungua kwa asilimia 54 katika vizazi hai elfu moja huku kwa zaidi ya miaka 1... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More