Vigogo Acacia wasomewa mashtaka 39 - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vigogo Acacia wasomewa mashtaka 39

VIGOGO katika kampuni ya madini ya Acacia, akiwemo aliyekuwa Makamu wa Rais, Deo Mwanyika na Mshauri wa Serikali ndani ya kampuni hiyo, Alex Lugendo leo tarehe 17 Oktoba 2018 wamepandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka 39. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mwanyika na Lugendo wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mfawidhi, ...


Source: MwanahalisiRead More