Vigogo wa Rwanda waliomhonga refa watiwa mbaroni - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vigogo wa Rwanda waliomhonga refa watiwa mbaroni

Mabosi wa chama cha soka cha Rwanda FERWAFA waliokumbwa na kashfa ya kuhonga refa kwa sasa wanatumia ndoo za korokoni.

Tumezoea kusikia kuwa marefa wamehongwa lakini hatujawahi kusikia wanaowahonga ni akina nani. Kule Rwanda hali imekuwa tofauti kidogo. Mwamuzi aliyehongwa atoboa siri.
Ferwafa ipo kwenye moshi wa matakataka na hatujui kama viongozi wake watatoka salama, Francois Regis Uwayezu kulia pichani na kamishna wa mashindano Eric Ruhamiriza kushoto pichani wamewekwa kwenye kiti cha moto baada ya kukumbwa na kashfa ya kuhonga waamuzi.

Kwani mchongo mzima upoje?


Hawa viongozi wa Rwanda walimhonga mwamuzi kutoka Namibia ambaye alichezesha mchezo wa Rwanda dhidi ya Ivory Coast.


Serikali ya nchi hiyo imechukua uamuzi gani?


Modeste Mbabazi, msemaji mkuu wa kitengo cha uchunguzi wa makosa nchini humo (Rwanda Investigations Bureau (RIB)) amesema viongozi hao wa chama hicho walishikwa mara moja baada ya tuhuma hizo.


Huyo Refa, khaa.. Kuna marefa wengine kweli ni mashujaa. Kibongo ... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More