Vigogo wa vyama siasa wajifungia Dar kujadili Demokrasia - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vigogo wa vyama siasa wajifungia Dar kujadili Demokrasia

BAADHI ya viongozi waandamizi wa vyama vya siasa hapa nchini leo tarehe 10 Oktoba 2018 wamekutana katika mkutano maalum unaoendelea kwenye hoteli ya New Afrika iliyoko jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Mkutano huo maalum kwa ajili ya kujadili kuhusu demokrasia hapa nchini, umeandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere na kuwezeshwa na ...


Source: MwanahalisiRead More