Vijana Morogoro watuma salamu za pongezi na shukrani kwa Rais Magufuli - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vijana Morogoro watuma salamu za pongezi na shukrani kwa Rais Magufuli

Na Charles James, Michuzi Tv
Vijana Wilayani Kilosa, Morogoro wamemshukuru na kumpongeza Rais Dk John Magufuli kwa hatua yake madhubuti ya kufuta hati ya mashamba makubwa yaliyokua yanamilikiwa na watu wachache na kuyarejesha mikononi mwa wananchi.
Hayo yamesemwa leo mbele ya Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Vijana Kazi na Ajira, Mhe Anthony Mavunde wakati wa mavuno ya mpunga katika shamba linalomilikiwa na Vijana wa Kampuni ya Agri-Ajira ambao ni wahitimu wa Chuo cha Kilimo Sokoine.
" Niwapongeze kwa uthubutu wenu na kazi kubwa mliyoifanya mpaka kufikia mafanikio makubwa, Kama Serikali tutawawezesha kimtaji kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo ili kupanua Kilimo chenu na kugawa ajira zaidi kwa Vijana, na kabla ya kuondoka hapa nimtake Afisa kutoka Benki ya Kilimo kutoondoka hapa bila kuweka sawa andiko la mkopo na mahitaji ya vijana hawa," amesema Mh Mavunde.
Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Adam Mgoyi amewahakikishia vijana wilayani hapo kuwa Serikali itaendelea kuwa bega... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More