Vijana wa Kitanzania waanzisha "Future Team Tanzania" - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vijana wa Kitanzania waanzisha "Future Team Tanzania"

Vijana wa Kitanzania waanzisha "Future Team Tanzania"


Baadhi ya Vijana wa Kitanzania ambao waliuda umoja wao wa "Future Team Tanzania" walipokuwa mafunzoni nchini Urusi, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Ubalozi wa Urusi baada ya kukutana tena na kuzindua rasmi umoja wao huo kwa hapa nchini, uliofanyika jana juni 13, 2019 katika ukumbi wa Kituo cha Kirusi nchini (Russian Culture Center), jijini Dar es salaam.


 Muazilishi kiongozi wa umoja huo "Future Team Tanzania", Sussane William Mollel akizungumza jambo katika shughuli hiyo, iliyofanyika jana juni 13, 2019 katika ukumbi wa Kituo cha Kirusi nchini (Russian Culture Center), jijini Dar es salaam.

YUNA Tanzania, Asasi ya Vijana wa Umoja wa Mataifa iliweza kuzungumzia fursa mbali mbali kwenye malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Kuna fursa nyingi za kujitolea ukiwa mwanachama pia fursa ya kujifunza mambo mbali mbali kama vile stadi za maisha, elimu ya jamii na ubunifu. Kwa maelezo zaidi tembelea www.yuna.or.tz 

... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More