VIJANA WAFANYA KONGAMANO JIJINI ARUSHA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIJANA WAFANYA KONGAMANO JIJINI ARUSHA

 Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw. Richard Kwitega akizungumza na Viongozi, Watendaji na Vijana kutoka kwenye Mashirika na Asasi mbalimbali za maendeleo ya Vijana walipokutana Jijini Arusha Agosti 11, 2018 Afisa wa Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Bw. Eliakim Mtawa akizungumza na vijana walioshiriki kwenye kongamano hilo jijini Arusha. Baadhi ya watoa mada wakijadili jambo kwa washiriki wa kongamano hilo (hawapo pichani) walipokutana Agosti 11, 2018 Jijini ArushaBaadhi ya wadau wa maendeleo ya vijana wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zinawasilishwa wakati wa kongamano hilo.Baadhi ya wadau wa maendeleo ya vijana wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zinawasilishwa wakati wa kongamano hilo.Baadhi ya washiriki wakifuatilia uwasilishwaji wa mada mbalimbali katika kongamano hilo, (Katikati) ni mkalimani wa lugha za alama Bi. Agnes Mweta akimfafanulia Bw. Judica Jacub (Kushoto) na Bw. Ramadhani Abbakari (wenye uziwi).Sehemu y... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More