Vijana waliopitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria kambi ya Ruvu JKT Oparesheni Kambarage 1990/91 - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vijana waliopitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria kambi ya Ruvu JKT Oparesheni Kambarage 1990/91

Pichani ni baadhi ya vijana wa zamani waliopitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria kambi ya Ruvu JKT (832KJ) Oparesheni Kambarage 1990/91 wakiwa pamoja baada ya kuhudhuria sherehe za kumaliza jeshi vijana kwa mujibu wa Sheria Oparesheni Mererani Ijumaa Septemba 14 kambini Ruvu.
Hii ni miaka 27 tangu vijana hao wa zamani kupitia mafunzo kambini hapo. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa umoja wa Vijana wa wa zamani aka makuruta wa zamani  Be Ameir Juma Nondo, umoja huo una mpango wa kurudisha fadhila kambini hapo kwa kutoa mchango katika kambi na kijiji Jirani na kamba hiyo kwa kuwa eneo hilo lina kumbu kumbu kubwa katika ujenzi wa maisha ya vijana hao waliopita hapo .  Be. Nondo ametaja miongoni mwa mambo waliyojifunza kambini hapo ni pamoja na uzalendo kwa nchi yao, ujasiri katika maisha, upendo na mshikamano katika jamii pamoja na kujituma, kuchapa kazi kwa bidii, utiifu na umakini katika kazi na maisha kwa ujumla.  Mgeni rasmi katika sherehe za ufungaji mafunzo hayo Mkuu wa Wilaya... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More