Vijana Wanaingia Bongo Movie Wapate Majimama;- Yusuph Mlela - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vijana Wanaingia Bongo Movie Wapate Majimama;- Yusuph Mlela

Msanii wa bongo movies , yusuph mlela ameongea na mwandishi na kutoa yake ya moyoni huku akisema kuwa wasanii wengi waliopo katika bongo movies sasa hivi wanaingia bongo movies sio kwa sababu wana vipaji lakini ni kutokana na kutafuta watu wa kuwalea.


Yusuph Mlela anasema kuwa ukweli utabaki kuwa tangu Kanumba amfariki basi na bongo movie imeshakufa hakuna anaefanya movies kwa kipaji bali kwa maslahi yao binafsi na vijana wengi wako kwa ajili hiyo.


tangu kanumba amfariki basi na bongo movies imekufa kabisa, vijana wengi wanaingia katika bongo movies kwa sababu ya kutafuta majimama tu ya kuwalea.


Akiwa kama mmoja  ya wasanii wa bongo movies hayo ndio maoni yake nayoona kutokana na soko la movies sasa hivi lilivyo, ingawa wapo wanaobishana na kauli hiyo ya kuwa kanumba amekufa nna bongo movis imekufa.


The post Vijana Wanaingia Bongo Movie Wapate Majimama;- Yusuph Mlela appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More