VIJANA WAPIGWA MSASA ULIPAJI KODI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIJANA WAPIGWA MSASA ULIPAJI KODI

Afisa Elimu na Huduma kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Isihaka Sharifu akitoa Mada kuhusu umuhimu wa kulipa Kodi, katika Semina ya Vijana iliyoandaliwa na Umoja wa Vijana Tanzania (TYVA), Jijini Dar es Salaam.
Na.Mwandishi Wetu-DSM
Vijana wapewa elimu kuhusu kuanzisha biashara ili kujikwamua na uchumi kwa kuchangamkia fursa zilizoko kwenye maeneo yao na kujua umuhimu wa kodi katika biashara ili kuwezesha taifa kupata mapato na wao kupata faida.
Akizungumza katika Semina ya Vijana iliyoandaliwa na Umoja wa Vijana Tanzania (TYVA), Afisa Elimu na Huduma kwa Walipa Kodi kutoka TRA, Isihaka Sharifu alisema kuwa Serikali imerekebisha baadhi ya Sheria za kodi hususani kwa vijana wanaofungua kampuni au biashara mpya.
Baadhi ya Washiri wa Semina ya Vijana, kuhusu umuhimu wa kulipa Kodi, iliyoandaliwa na Umoja wa Vijana Tanzania (TYVA), Jijini Dar es Salaam, wakifuatilia Mada zilizokuwa zikitolewa kwenye Semina hiyo, Mwishoni mwa Wiki.

Sharifu alisema kuwa kwa sasa Sheria ya... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More