VIJIJI SITA WILAYA YA MEATU VYANUFAIKA NA MIRADI YA MAENDELEO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIJIJI SITA WILAYA YA MEATU VYANUFAIKA NA MIRADI YA MAENDELEO


Vijana wa kikundi cha Nyati katika Kijiji cha Mwabulutago Kata ya Mwasengela wakikabidhiwa mashine ya kuchomelea itakayochangia uchumi wa jamii yao.Wanakikundi cha uzalishaji mali Kijiji cha Makao wakikabidhiwa moja na Mkuu wa wilaya ya Meatu,Dk Joseph Chilongani.Wanawake walionufaika kwa kujengewa uwezo wa kuweka na kukopa wakimpa zawadi Meneja wa Maendeleo ya Jamii wa kampuni ya FCFL,Nana Woodley.Mkuu wa wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu,Dk Joseph Chilongani akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbalimbali kwa wananchi wake,kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Meatu,Juma Mwiburi na Meneja wa FCFL,Nana Woodley.Mkuu wa wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu,Dk Joseph Chilongani(wa pili kushoto) akimsikiliza mkulima wa Kijiji cha Matale Kata ya Tindabuligi,Sayi Luchagula alipotembelea shamba lake lililowekewa uzio wa mizinga ya nyuki ili kuwazuia Tembo kushambulia mazao yao.Mkuu wa wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu,Dk Joseph Chilongani(wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wafan... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More