Viongozi Tanga watakiwa kuwa wabunifu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Viongozi Tanga watakiwa kuwa wabunifu

VIONGOZI na watendaji wakuu wa halmashauri ya Jiji la Tanga wametakiwa kuwa wabunifu katika kuhakikisha wanawafikia wanawake wengi wanaoishi mjini ili waweze kujiunga na huduma za uzazi wa mpango. Anaripoti Khalifa Abdallah …. (endelea). Wito huo umetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati akifungua mkutano uliowakutanisha Viongozi ...


Source: MwanahalisiRead More