Viongozi wa Dini wazindua Kitabu cha Mwongozo wa Uchumi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Viongozi wa Dini wazindua Kitabu cha Mwongozo wa Uchumi

KAMATI ya Viongozi wa Dini ya Masuala ya Haki za Kiuchumi na Uadilifu katika Uumbaji (ISCEJIC), imezindua Mfumo wa Soko Jamii unaotoa muongozo juu ya namna taifa litafikia kwenye uchumi imara unaogusa maisha ya Watanzania wote. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Mfumo huo umezinduliwa leo tarehe 12 Julai 2019 jijini Dar es Salaam, chini ya kamati ...


Source: MwanahalisiRead More