Viongozi wa Serikali watua Morogoro kuweka mambo sawa ajali ya moto - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Viongozi wa Serikali watua Morogoro kuweka mambo sawa ajali ya moto

BAADA ya vifo vya watu takribani 60 vilivyotokana na lori la mafuta kuwaka moto mkoani Morogoro viongozi mbalimbali wamewasili mkoani hapa kwa ajili ya kusimamia taratibu zote za kusafirisha mili na kusimamia huduma kwa majeruhi wa ajali hiyo. Anaripoti Hamisi Mguta, Morogoro … (endelea). Moto huo uliozuka tarehe 10 Agosti 2019 ulisababisha vifo vya watu ...


Source: MwanahalisiRead More