VIONGOZI WA VIKOSI VYA OPERESHENI NZAGAMBA NA SANGARA SIMAMIENI SHERIA-ULEGA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIONGOZI WA VIKOSI VYA OPERESHENI NZAGAMBA NA SANGARA SIMAMIENI SHERIA-ULEGA

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amewataka viongozi wa vikosi vya operesheni Nzagamba na Sangara, kusimamia sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya ya kukusanya maduhuli ya serikali.
Akiwa kwenye ziara yake kwa nyakati tofauti katika ukaguzi wa operesheni hizo kwa mikoa ya Singida, Tabora, Shinyanga na Mwanza, Ulega alisema wapo wanaokiuka taratibu na miongozo.
Awali mkuu wa timu ya operesheni mkoa wa Singida, Nankondo Senzila, alisema wanaendelea katika kanda hiyo ambapo kazi kubwa ni kukagua mazao ya uvuvi yanayosafirishwa kwenda sehemu mbalimbali
Akiwa Shinyanga, Waziri Ulega alikutana na kuzungumza na timu ya operesheni Nzagamba inayosimamia mikoa ya Tabora na Shinyanga, aliitaka timu hiyo kujijenga vizuri katika kila idara ili kuongeza ukusanyaji wa maduhuli na kuondokana na ujanjaujanja.
Kiongozi wa timu hiyo, Rogers Shengoto alisema katika operesheni hiyo ya mifugo awamu ya pili .Akiwa Mwanza alikutana na timu ya operesheni Nzagamba ya mikoa ya Mwanza na Mara ikiwa ... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More