VITA VYA KIBIASHARA: Huawei wafutiwa leseni ya Android na Google, Hili ni anguko kwa simu zao duniani - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VITA VYA KIBIASHARA: Huawei wafutiwa leseni ya Android na Google, Hili ni anguko kwa simu zao duniani

Kampuni ya Google imefuta rasmi leseni ya Android kwenye kampuni ya simu za mkononi ya Huawei kutoka nchini China.Kwa mantiki hiyo, simu zote za Huawei hazitakuwa na uwezo wa kutumia huduma na bidhaa zote zinazotolewa na Google kupitia soko la Google Play Store ikiwemo YouTube na Gmail.


Kwenye taarifa iliyotolewa na Android, imeeleza kuwa watumiaji wa Huawei wa sasa wataendelea kupata huduma zote huku majadiliano kati ya serikali ya marekani na kampuni ya Huawei yakiendelea.For Huawei users' questions regarding our steps to comply w/ the recent US government actions: We assure you while we are complying with all US gov't requirements, services like Google Play & security from Google Play Protect will keep functioning on your existing Huawei device.


— Android (@Android) May 20, 2019Imeelezwa kuwa matoleo mapya ya Android yatakayotoka kuanzia mwakani, hayatapatikana kwenye simu za Huawei hivyo watumiaji hawatapata huduma kama YouTube na Google Maps.


Taarifu hiyo imetoka ikiwa kuna m... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More