VITAMBULISHO VYA 'WAMACHINGA' VYANOGESHA BIASHARA YA MATUNDA KATIKATI YA JIJI LA DAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VITAMBULISHO VYA 'WAMACHINGA' VYANOGESHA BIASHARA YA MATUNDA KATIKATI YA JIJI LA DAR

Baadhi ya wafanyabiashara ya matunda katika Jiji la Dar es Salaam wakiendelea na biashara zao ambapo wameimbia Michuzi Blog kuwa wanamshukuru Rais Dk.John Magufuli kwa uamuzi wake wa kutaka wafanyabiashara ndogondogo kuwa na vitambulisho na kutamulika rasmi.
Wafanyabiashara hao walieleza kuwa kwa sasa  wanaheshimika na usumbufu waliokuwa wakiupata hapo awali kabla ya kuwa na vitambulisho haupo,"kwakweli utulivu wa biashara zetu umesaidia hata kuongeza wateja kwani yale mambo ya kukimbiakimbia yamekwisha,hivyo kwa hakika tunamshukuru Rais Magufuli na Serikali yake ya Awamu ya  Tano kwa namna ambavyo imekuwa ikiwajali wanyonge",alisema Fredi Nyasiki mkazi wa Kimara ambaye hufanya biashara zake za matunda katikati ya jiji la Dar.Wafanyabiashara wa matunda mbalimbali wanaotumia baiskeli wakiwahudumia wateja, kama walivyokutwa na Kamera ya Michuzi blog kando ya Barabara ya Samora, Dar es Salaam leo,vijana wengi kwa sasa wana vitambulisho vya wajasiliamali almaarifu kwa jina la vitambulisho v... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More