VITU 10 VYA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA DIET - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VITU 10 VYA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA DIET

1. Set goals/Jiwekee Malengo

Cha kwanza kabisa na cha muhimu sana kabla hujaanza diet ni kuweka malengo,tana malengo ambayo yako realistic usijidanganye kabisaa ,kama kuna malengo ambayo hayako realistic its likely diet haitafika popote.Jipangie jinsi ya kufanya diet hiyo kwa malengo uset kabisa vipi utafikia malengo yako.Planning is very important guys kuanzia milo yako ,mazoezi nk.DIETW343


2. Create a weight loss plan

Lazima utengeneze weightloss plan yako kuanzia unaaanza ,kilo ngapi unataka kupunguza,kwa muda gani pia.Sasa hii weightloss plan ita toa details za vyakula gani unahitaji ule ,mazoezi yatakayo kusaidia kupungua,kuzingatia muda wa kula nk.DIET


3.Jitahidi kuishi healthy

Yes diet itakusaidia kupungua na kuna watu wanafanya diet sio healthy just for the sake of kupungua kilo kadhaa ila kwanini yasiwe maisha yako ,kuishi healthy unakula na unakuwa healthy unaacha kufanya crush diets ambazo zina side effects kwenye mwili wako.Fanya kuamua kuwa unaishi a healthy life.DIET4


4.Kuwa na Malengo end... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More