Vitu Hivi Saba Vitabadilisha Muonekano Wako - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vitu Hivi Saba Vitabadilisha Muonekano Wako

Leo na share vitu saba ambavyo ukivizingatia basi am sure utakuwa stylish


Article hii imeandikwa na Da Nicky wa bongocelebrity 


Kuna Tips kibao humu hope you will all learn something like i didca6ee66146b039a0580d19a64a18abf6


 


Hizi tips pia zinaweza kukusaidia sana wakati unaenda kwenye interviews au ukataka kujichanganya na group ambayo siku zote una  admire au kuwa mmoja wao, bila kubaguliwa kwasababu za maana kama Networking groups.   Unaweza tumia njia hizi kununua vitu vyako au vitu ulivyonavyo bila kuvunja bank na ukaonekana ni mmoja au zaidi wa yule anaenunua kwenye high ends stores (Maduka ya ghali/designers) kwa jinsi tu unavyozipangilia.


Kuna aina nyingi  za vitu ambavyo vinaweza kukusaidia kuonekana na muonekano wa kukubalika/kuheshimika;  lakini leo nitaongelea  kuhusu muonekano wa mavazi ambao waweza kubadilisha muonekano wako kwa jamii; ukaweza kupata nafasi za kuonana na watu wa maana ambao wanaweza kukusaidia au ku invest katika  ndoto zako. Kumbuka mavazi yako ni kitu cha kwanza mtu anakiona... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More