Vitu Hivi Vitatu Usivyovijua Kuhusu Fedha Ndiyo Vinakuzuia Wewe Kufika Kwenye Utajiri Na Uhuru Wa Kifedha. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vitu Hivi Vitatu Usivyovijua Kuhusu Fedha Ndiyo Vinakuzuia Wewe Kufika Kwenye Utajiri Na Uhuru Wa Kifedha.

Rafiki yangu mpendwa, Moja ya vitu ambavyo tunatumia muda wetu kufikiria na kufanyia kazi ni fedha na kipato. Kila mmoja wetu anakazana kufanya kile anachofanya ili aweze kupata fedha ya kuendesha maisha yake. Lakini pamoja na juhudi kubwa ambazo kila mmoja wetu anaweka, bado wengi wamenasa kwenye lindi la umasikini. Watu wanajitahidi sana, na kwa... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More