Vitu Viwili Ambavyo Mtoto Anapaswa Kuvijua Kutoka Kwa Mzazi - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vitu Viwili Ambavyo Mtoto Anapaswa Kuvijua Kutoka Kwa Mzazi

Mpendwa rafiki yangu, Wote tunajua kuwa watoto ni zawadi ya ndoa, hivyo basi, kila mmoja wetu anapokwenda kununua kitu kama vile jokofu au friji atapewa na kijitabu cha mwongozo jinsi ya kutumia. Lakini sisi binadamu pale tunapopata mtoto hatuna kitabu cha mwongozo kama vile unaponunua bidhaa nyingine. Malezi ya mtoto ni kazi kama unavyoziona kazi […]


Source: Hisia za MwananchiRead More